Jeremiah 48:37

37 aKila kichwa kimenyolewa
na kila mwenye ndevu zimekatwa;
kila mkono umekatwa
na kila kiuno kimefunikwa kwa nguo ya gunia.
Copyright information for SwhNEN